Ufafanuzi wa uhondo katika Kiswahili

uhondo

nominoPlural uhondo

  • 1

    hali ya kufaidi vitu vitamu.

  • 2

    hali ya kufaidi burudani k.v. mchezo au ngoma.

Matamshi

uhondo

/uhɔndɔ/