Ufafanuzi wa uhonyoaji katika Kiswahili

uhonyoaji

nominoPlural uhonyoaji

  • 1

    utumiaji wa vitu bila ya kujali gharama zake.

Matamshi

uhonyoaji

/uhɔɲɔwaʄi/