Ufafanuzi wa uhuni katika Kiswahili

uhuni

nominoPlural uhuni

  • 1

    tabia ya kuzurura mitaani kuwasumbua watu na kufanya vitendo vibaya.

    uchepe, ukora

  • 2

    hali ya kukaa bila ya mume au mke.

Matamshi

uhuni

/uhuni/