Ufafanuzi wa ujangili katika Kiswahili

ujangili

nomino

  • 1

    uwindaji wa wanyama pori bila idhini kwa lengo la kupata vipusa, pembe za ndovu, ngozi ya chui, n.k..

Matamshi

ujangili

/uʄangili/