Ufafanuzi wa ujasiriamali katika Kiswahili

ujasiriamali

nominoPlural ujasiriamali

  • 1

    hali ya uwekezaji mtaji katika biashara.

Matamshi

ujasiriamali

/uʄasirijamali/