Ufafanuzi wa ujima katika Kiswahili

ujima

nominoPlural ujima

  • 1

    utaratibu wa kufanya kazi pamoja kwa zamu kwa wale wanaohusika ambapo afanyiwaye kazi agh. hutoa chakula au kinywaji baada ya kazi.

    ‘Lima ujima’

Matamshi

ujima

/uʄima/