Ufafanuzi wa ujira katika Kiswahili

ujira

nominoPlural ujira

  • 1

    malipo kwa ajili ya kazi iliyofanywa.

Asili

Kar

Matamshi

ujira

/uʄira/