Ufafanuzi wa ujirani katika Kiswahili

ujirani

nominoPlural ujirani

  • 1

    uhusiano wa kuwa karibu, agh. katika makazi.

Asili

Kar

Matamshi

ujirani

/uʄirani/