Ufafanuzi wa ujuba katika Kiswahili

ujuba

nomino

  • 1

    hali ya kujifanya kujua, pamoja na kuwa na kiburi.

    ujeuri

Asili

Kar

Matamshi

ujuba

/uʄuba/