Ufafanuzi wa ujuzi katika Kiswahili

ujuzi

nomino

  • 1

    ufundi, utaalamu au maarifa aliyonayo mtu katika kufanya shughuli fulani.

    hekima

Matamshi

ujuzi

/uʄuzi/