Ufafanuzi msingi wa ukaango katika Kiswahili

: ukaango1ukaango2

ukaango1

nominoPlural kaango

  • 1

    ufuniko wa kole la nazi.

    ukarara

Matamshi

ukaango

/uka:ngɔ/

Ufafanuzi msingi wa ukaango katika Kiswahili

: ukaango1ukaango2

ukaango2

nominoPlural kaango

  • 1

    chungu kikubwa sana cha kupikia chakula, agh. wali, katika karamu.

Matamshi

ukaango

/uka:ngɔ/