Ufafanuzi wa ukabila katika Kiswahili

ukabila

nomino

  • 1

    matendo au mawazo ya mtu yaliyotawaliwa na kuthamini kabila lake tu na kubagua makabila mengine.

Asili

Kar

Matamshi

ukabila

/ukabila/