Ufafanuzi wa ukalifu katika Kiswahili

ukalifu

nominoPlural ukalifu

  • 1

    hali ya kuleta taabu.

    usumbufu, utaabishaji

Asili

Kar

Matamshi

ukalifu

/ukalifu/