Ufafanuzi wa ukambaa katika Kiswahili

ukambaa

nominoPlural ukambaa

  • 1

    ugwe mnene unaosokotwa kwa muwaa au majani ya tumbaku.

Matamshi

ukambaa

/ukamba:/