Ufafanuzi wa ukame katika Kiswahili

ukame

nomino

  • 1

    hali ya nchi kuwa kavu kiasi cha kutowezesha kupata mavuno ya kutosha.

    ukavu

Matamshi

ukame

/ukamÉ›/