Ufafanuzi wa ukamilishaji katika Kiswahili

ukamilishaji

nomino

  • 1

    hali ya kutekeleza jambo kwa kiasi kinachoridhisha.

Matamshi

ukamilishaji

/ukamili∫aʄi/