Ufafanuzi wa ukamilisho katika Kiswahili

ukamilisho

nomino

  • 1

    utimizaji wa jambo au kitu kwa kiwango kinachofaa.

    utimizaji

Matamshi

ukamilisho

/ukamili∫ɔ/