Ufafanuzi msingi wa ukanda katika Kiswahili

: ukanda1ukanda2

ukanda1

nominoPlural kanda

 • 1

  sehemu inayotandwa na hali fulani ya hewa.

  ‘Ukanda wa kitropiki’

 • 2

  eneo lililotengwa na maeneo mengine kwa kuwa na sifa au shughuli maalumu.

  ‘Ukanda wa vita’
  ‘Ukanda wa magharibi’

Matamshi

ukanda

/ukanda/

Ufafanuzi msingi wa ukanda katika Kiswahili

: ukanda1ukanda2

ukanda2

nominoPlural kanda

Matamshi

ukanda

/ukanda/