Ufafanuzi wa ukariri katika Kiswahili

ukariri

nominoPlural ukariri

  • 1

    tendo la kurudia kusema maneno yaleyale kimoyomoyo au kwa sauti.

Asili

Kar

Matamshi

ukariri

/ukariri/