Ufafanuzi wa ukasi katika Kiswahili

ukasi

nominoPlural kasi

  • 1

    chombo kinachotengenezwa kwa kifuu cha nazi na kutiwa mpini wa mti agh. hutumika kwa shughuli za jikoni.

    upawa

Matamshi

ukasi

/ukasi/