Ufafanuzi wa ukasisi katika Kiswahili

ukasisi

nomino

  • 1

    kazi ya kasisi.

    upadri, uchungaji

Asili

Kar

Matamshi

ukasisi

/ukasisi/