Ufafanuzi wa ukata katika Kiswahili

ukata

nomino

  • 1

    hali ya kuwa maskini.

    ufukara, uchochole, umaskini

Matamshi

ukata

/ukata/