Ufafanuzi msingi wa ukavu katika Kiswahili

: ukavu1ukavu2

ukavu1

nominoPlural ukavu

 • 1

  ukosefu wa uowevu.

  ugumu

 • 2

  ukame

Matamshi

ukavu

/ukavu/

Ufafanuzi msingi wa ukavu katika Kiswahili

: ukavu1ukavu2

ukavu2

nominoPlural ukavu

 • 1

  hali ya kutokuwa na haya.

Matamshi

ukavu

/ukavu/