Ufafanuzi wa ukaya katika Kiswahili

ukaya

nominoPlural kaya

  • 1

    kitambaa chepesi cha kuziba uso na kichwa kinachovaliwa na mwanamke.

    barakoa

Matamshi

ukaya

/ukaja/