Ufafanuzi wa ukembwa katika Kiswahili

ukembwa

nominoPlural ukembwa

  • 1

    kitu laini kisichoshikika.

  • 2

    hali ya kutokomaa k.v. mtoto mchanga au mahindi.

Matamshi

ukembwa

/ukɛmbwa/