Ufafanuzi wa ukinaifu katika Kiswahili

ukinaifu

nomino

  • 1

    hali ya kuishiwa hamu ya kitu.

Asili

Kar

Matamshi

ukinaifu

/ukinaifu/