Ufafanuzi wa ukindu katika Kiswahili

ukindu

nominoPlural kindu

  • 1

    jani la mmea wa jamii ya mtende linalotumika kusukia kili za kushonea vikapu, vitanga au mikeka.

Matamshi

ukindu

/ukindu/