Definition of Uking’wafua mnofu ukumbuke na kuguguna mfupa in Swahili

Uking’wafua mnofu ukumbuke na kuguguna mfupa

phrase

  • 1

    kila unapoona vitu vya raha usisahau kuwa vilitafutwa kwa taabu.