Ufafanuzi wa ukiwa katika Kiswahili

ukiwa

nomino

  • 1

    hali ya huzuni au upweke anayokuwa nayo mtu aliyefiwa.

Matamshi

ukiwa

/ukiwa/