Ufafanuzi wa ukoa katika Kiswahili

ukoa

nominoPlural koa

  • 1

    kitu mithili ya bangili kubwa kinachotengenezwa kwa madini na kuvaliwa k.v. shingoni au mkononi.

Matamshi

ukoa

/ukɔwa/