Ufafanuzi wa ukoka katika Kiswahili

ukoka

nominoPlural koka

  • 1

    nyasi zinazotambaa ambazo hupendwa sana na wanyama wacheuao.

Matamshi

ukoka

/ukɔka/