Ufafanuzi wa ukoko katika Kiswahili

ukoko

nominoPlural ukoko

  • 1

    masazo ya chakula yanayoganda kwenye chombo kilichopikiwa chakula hicho.

  • 2

    maradhi ya pele ndogondogo chini ya nywele.

Matamshi

ukoko

/ukɔkɔ/