Ufafanuzi wa ukoloni mamboleo katika Kiswahili

ukoloni mamboleo

  • 1

    mfumo wa utawala wa nchi za kibepari kuwa na ushawishi mkubwa wa kiuchumi na kisiasa katika nchi zinazoendelea, kwa maslahi yao.

Asili

Kng