Ufafanuzi wa ukombe katika Kiswahili

ukombe

nomino

  • 1

    nyenzo itumikayo kuchimba shimo k.v. katika kinu, ngoma au mzinga.

  • 2

    kijiko kidogo cha udongo au mti.

Matamshi

ukombe

/ukɔmbɛ/