Ufafanuzi wa ukomo katika Kiswahili

ukomo

nominoPlural ukomo

  • 1

    hali ya jambo kufikia mwisho.

    hadi

Matamshi

ukomo

/ukɔmɔ/