Ufafanuzi wa ukongwe katika Kiswahili

ukongwe

nomino

  • 1

    hali ya kuzeeka.

Matamshi

ukongwe

/ukɔngwɛ/