Ufafanuzi wa ukonzo katika Kiswahili

ukonzo

nomino

  • 1

    fimbo iliyochongwa yenye ncha au chembe ya chuma ambayo hutumika kuchokolea samaki.

Matamshi

ukonzo

/ukɔnzɔ/