Ufafanuzi msingi wa ukope katika Kiswahili

: ukope1ukope2

ukope1

nominoPlural kope

  • 1

    ngozi inayofunika jicho wakati likiwa limefumbwa.

Matamshi

ukope

/ukɔpɛ/

Ufafanuzi msingi wa ukope katika Kiswahili

: ukope1ukope2

ukope2

nominoPlural kope

  • 1

    unywele ulioko kwenye kikawa cha jicho.

Matamshi

ukope

/ukɔpɛ/