Ufafanuzi wa ukubwa katika Kiswahili

ukubwa

nominoPlural ukubwa

  • 1

    hali ya kuwa na cheo, umbo au umri zaidi ya wengine.

Matamshi

ukubwa

/ukubwa/