Ufafanuzi wa ukufi katika Kiswahili

ukufi

nominoPlural kufi

  • 1

    kiasi au kadiri ya kitu kinachoweza kuwekwa katika kiganja au gao la mkono.

    konzi, woya

Matamshi

ukufi

/ukufi/