Ufafanuzi wa ukumbusho katika Kiswahili

ukumbusho

nominoPlural ukumbusho

  • 1

    kitu kinacholeta fikira ya jambo lililotokea au lililopita.

Matamshi

ukumbusho

/ukumbu∫ɔ/