Ufafanuzi wa ukumbuu katika Kiswahili

ukumbuu

nomino

  • 1

    kitambaa chenye uwazi ndani kinachotumika kama mkanda, agh. kufungia nguo kiunoni.

Matamshi

ukumbuu

/ukumbu:/