Ufafanuzi wa ukuta katika Kiswahili

ukuta

nominoPlural kuta

  • 1

    sehemu mojawapo ya pande za nyumba iliyosimama wima, iliyojengwa kwa k.v. mawe, matofali au udongo.

    kiambaza

Matamshi

ukuta

/ukuta/