Ufafanuzi msingi wa ukuti katika Kiswahili

: ukuti1ukuti2

ukuti1

nomino

  • 1

    jani la mnazi.

Matamshi

ukuti

/ukuti/

Ufafanuzi msingi wa ukuti katika Kiswahili

: ukuti1ukuti2

ukuti2

nomino

  • 1

    mchezo wa watoto wadogo wa kushikana mikono kufanya duara na kuzunguka mbiombio.

Matamshi

ukuti

/ukuti/