Ufafanuzi wa ulafi katika Kiswahili

ulafi

nominoPlural ulafi

  • 1

    tabia ya kupenda kula sana.

    uroho, umero

Matamshi

ulafi

/ulafi/