Ufafanuzi wa ulanzi katika Kiswahili

ulanzi

nominoPlural ulanzi

  • 1

    pombe inayopatikana kwa kugema mianzi michanga.

Matamshi

ulanzi

/ulanzi/