Ufafanuzi wa ulevi katika Kiswahili

ulevi

nomino

  • 1

    kitu kinacholewesha.

    kileo, akari

  • 2

    hali ya kupotewa na fahamu kwa sababu ya kutumia pombe au madawa ya kulevya.

    ugimbi

Matamshi

ulevi

/ulɛvi/