Ufafanuzi wa ulindi katika Kiswahili

ulindi

nominoPlural lindi

  • 1

    kijiti kinachopekechwa kwenye wimbombo ili kutoa moto.

Matamshi

ulindi

/ulindi/