Ufafanuzi wa ulingo katika Kiswahili

ulingo

nominoPlural lingo

  • 1

    jukwaa la shambani la kulindia mazao yasiharibiwe na ndege au wanyama.

    methali ‘Ulingo wa Kwae haulindi Manda’
    kilingo

  • 2

    jukwaa lililojengwa agh. kwa ajili ya maonyesho ya mchezo wa masumbwi.

Matamshi

ulingo

/ulingÉ”/