Ufafanuzi wa uliza katika Kiswahili

uliza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    taka kujua habari au jambo.

    saili, hoji, dadisi

Matamshi

uliza

/uliza/